TANGAZO
TUNAWAOMBA WANUFAIKA WOTE WA MKOPO WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOWEZA KUBADILI MATOKEO YAO, WALIOKUWA NA:
- CARRY
- AP & DISCO
- INCOMPLETE
- REPEAT
(EXCEPT SUPP)
- (STATUS INAYORUHUSU MWANAFUNZI KUENDELEA NA MASOMO)
WATOE TAARIFA ZAO KWA LOAN OFFICER, MWISHO TAREHE 4/11/2016 SAA KUMI SIKU YA IJUMAA
Imetolewa na wizara ya Mikopo
IFM-SO
0 comments:
Post a Comment