TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WALIOSHINDWA KUFANYA USAJILI KATIKA AKAUNTI ZAO ZA CHUO
Serikali ya wanafunzi wa IFM inafahamu kuwa kutokana na sababu tofauti tofauti kuna baadhi ya wanafunzi mpaka sasa hawajafanikisha zoezi la registration kwa muhula wa masomo 2016/17.
Kwaajili ya ufuatiliaji mzuri, serikali ya wanafunzi ikishirikiana na registrar, inahitaji wanafunzi wote walioshindwa kujisajili waache taarifa zao ( Majina yao, registration number na mwaka wa masomo) kwa wawakilishi wa madarasa (Crs), na Crs watafikisha majina hayo kwa wawakilishi wa vitivo (Frs) na mwisho majina hayo yawasilishwe kwa katibu wizara ya elimu IFM-SO saa kumi kamili jioni (5/01/2017).
Njia ya uwasilishaji:
Majina hayo inawezekana yakawasilishwa kwa njia ya SMS au kwa maandishi kwa viongozi tajwa hapo juu. (Frs watawasilisha majina hayo kwa njia ya maandishi kwa katibu wizara ya elimu)
Vile vile, mnaweza kuwasilisha taarifa zenu kwa njia ya kucomment chini ya post hii. (Tunafanya hivi ili tusimuache yeyote kwa kuzingatia ujaji wa taarifa kwa kushtukiza)
Namba ya Katibu wizara ya elimu (Kwa Frs tu)
+255 712 812 737
Kutoka kwa registrar:
Kutokana na umuhimu mkubwa wa suala hili na mda wa mitihani unazidi kukaribia, registrar anaomba kukutana na wanafunzi wote wasiofanya usajili siku ya IJUMAA ya tarehe 7/01/2017 Th. J Saa tisa alasiri Kujadili changamoto zilizosababisha wanafunzi kushindwa kujisajili na nini kifanyike.
Mungu atawasaidia Insha-Allah.
ReplyDeleteAmin.
DeleteTupo kwa ajili yenu Said.
samahani kuna mkanganyiko hapo kwenye tangazo siku ya kukutana na registra ni IJUMAA tarehe 6 au tarehe 7 ambayo itakuwa siku ya jumamosi?...asante
ReplyDeleteMimi bado sijafanya registration naomba kuwasiliscomment. ha taarifa kwa njia hii ya comment,
ReplyDeleteSHIRIMA ADOLPH J. IMC/BAC/14/76562. asante