TANGAZO
Kutokana na changamoto zinazojitokeza, serikali ya wanafunzi IFM-SO inaitisha kikao cha dharura na viongozi wote wa vitivo (Faculty Representatives) na wa madarasa (Class Representatives) kuanzia ngazi ya Cheti, Diploma Bachelor na masters siku ya kesho (09/11/2016) kitakochafanyika kantini kubwa ya chuo (Main campus) kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa saba mchana.
Agenda ya kikao ni kujadili changamoto za mikopo na kukubaliana msimamo wa serikali kwa pamoja.
0 comments:
Post a Comment