Taarifa muhimu kwa wanufaika wa mikopo IFM


TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MIKOPO

Wizara ya mikopo chini ya usimamizi wa waziri mkuu wa chuo cha usimamizi wa fedha inataarifu wanafunzi wa IFM rasmi kuwa hundi ya fedha za mafunzo ya vitendo imepokelewa leo 16/08/2016 saa sita mchana na afisa mikopo wa chuo. Mhasibu wa chuo ameanza utaratibu wa kufanikisha zoezi la uingizaji wa fedha hizo ndani ya akaunti za wanafunzi, ni matarajio ya ofisi zoezi kukamilika kabla ya wiki hii kuisha.

Ofisi ya Waziri Mkuu
IFM-SO 2016/17
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

6 comments:

  1. Srikali yenye kujali wanafunzi wake. #ifm-so

    ReplyDelete
  2. Serikaliii ya awamu hii naamini itakua nzuri mnoo kuliko awamu zilizopita uongoz bora ni ule ambao watu wote hupaswa kujua nini kinachoendelea katika serikali yao ## nmeipenda hii na tutazidi kuwaombea mfanye mazuri zaidiii

    ReplyDelete
  3. Serikaliii ya awamu hii naamini itakua nzuri mnoo kuliko awamu zilizopita uongoz bora ni ule ambao watu wote hupaswa kujua nini kinachoendelea katika serikali yao ## nmeipenda hii na tutazidi kuwaombea mfanye mazuri zaidiii

    ReplyDelete
  4. ni hatua nzuri,nawapongeza kwa hilo pia napenda kuwashauri kuhusu hizi taarifa zisizo rasmi zinatoka kila mara kuhusu mambo mbalmbali ya IFMSO,jaribuni kuzuia kama cyo kukomesha.

    ReplyDelete
  5. Kazi nzur big up sana wakuu wang...prezdar KILONZO kwa kaz nzur...

    ReplyDelete
  6. Thanks tunaitaji mabadiliko ya ukwel na chachu ya mabadiliko hayo ni mm na ww siku njema Kuna mengi mazuri ya nakuja

    ReplyDelete