Tangazo kwa wanufaika wa mikopo mwaka wa 2 & 3 IFM



KWA WANUFAIKA WA MIKOPO MWAKA WA 2 & 3 2016/2017


  • Kwa wale wanafunzi wanaoendelea, mnafahamishwa kwamba kutakuwa na zoezi la kusaini fedha kwa ajili ya malazi na chakula.
  • Zoezi la kusaini litaanza tarehe 04/11/2016 hadi 08/11/2016 kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi kamili jioni. Eneo la kusaini ni Block B, nje ya TH A na B.
  • Ambao hawajaona majina yao wasubiri bachi ya pili, na kwa ambae hakupeleka taarifa zake kwa loan officer baada ya kubadilika kwa status zao zinazowaruhusu kuendelea na masomo, wapeleke taarifa hizo kwa loan officer kabla ya tarehe 4/11/2016 IJUMAA.
  • Wale ambao walishapeleka taarifa zao, wasubiri batch ya pili, majina yao watayaona.  


Imetolewa na wizara ya mikopo
IFM-SO
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment