TANGAZO!
WIZARA
YA MIKOPO IFMSO, INAPENDA KUWAPA POLE WANUFAIKA WA MIKOPO (IFM) NA PIA INAPENDA
KUTOA TAARIFA KUWA PESA ZA KUJIKIMU KATIKA MAFUNZO YA VITENDO ZITASAINIWA SIKU
YA JUMATATU TAREHE 22/08/2016 NA JUMANNE TAREHE 23/08/2016. UNAOMBWA KUFIKA
BILA KUKOSA.
KUHUSU
WATU WA MIKOANI WATAPATIWA UTARATIBU KUANZIA JUMATATU 22/08/2016
IMETOLEWA
NA
WIZARA
YA MIKOPO.
ujue nyie mnazingua sio siri uongozi wenu wote mbovu na mpo hapo kuuza sura tu na sio kufanya kazi coz haiwezekani taharifa ya tarehe 16 na hii iwe tofauti sijui mna2fanya watoto wadogo sijui
ReplyDeleteMheshimiwa Fred,tangazo LA trh 16 lilihusu kupokelewa kwa cheque, na baada ya cheque kupokelewa chuo kimesimamia muongozo uliotolewa na mheshimiwa Ndalichako unaokanusha muongozo wa mwanzo kuwa watu wasipate hela za field bila kusaini, ila bado tunaendelea kupambana ili wote tupate haki zetu za msingi
Delete