Uteuzi wa waziri mpya na naibu waziri katika wizara ya mikopo

Makamu wa raisi serikali ya wanafunzi IFM-SO (Wa kwanza kushoto), Raisi wa serikali ya wanafunzi IFM-S0 (Wa pili kutoka kushoto), Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi IFM-SO (Wa tatu kutoka kushoto), na waziri teule wa mikopo (wa kwanza kulia)
Raisi wa serikali ya wanafunzi IFM-SO (Kushoto), Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi IFM-SO (Katikati), Naibu waziri wa mikopo IFM-SO (Kushoto).

TAARIFA KWA WANAFUNZI WA IFM

Tarehe 05/09/2016 Mheshimiwa Raisi wa wanafunzi IFM amefanya uteuzi wa waziri mpya na naibu waziri katika wizara ya mikopo na kuwaapisha kwa mujibu wa katiba ya serikali ya wanafunzi tayari kwaajili ya kuanza  kutekeleza majukumu yao. kwa majina waziri mteule wa mikopo wa serikali ya wanafunzi IFM-SO 2016/17 ni Mh. Zenas M. Siaka na naibu waziri Mh. Patrick James.
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

3 comments:

  1. Hongera sana zena.. sasa utuambie lini tunapata awamu ya pili ya field allowance

    ReplyDelete
  2. Congartulations my CR. Hop all the loan issues will be handled with total care

    ReplyDelete
  3. gud...mtupe info za allowance ya pili ya field wakuu

    ReplyDelete