TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE
1. Masomo yataanza rasmi tarehe 24/10/2016, hivyo wanafunzi wote mnatakiwa kuhudhuria madarasani kama kawaida.
2. Matokeo ya Supplementary yatatoka hivi karibuni, tunaomba radhi kwa niaba ya uongozi wa chuo kwa kucheleweshwa kwa matokeo kwa sababu ya matatizo ya kimtandao,
3. Rai ya serikali kwa wanafunzi;
- Wakati matatizo ya mtandao yanawekwa sawa na uongozi wa chuo na matokeo kuwekwa sawa, tunawasihi wanafunzi kuendelea kuhudhuria madarasani kama kawaida.
- Baada ya matokeo mtapewa siku 14 za kukata rufaa.
4. Wanafunzi wote waliofanya special seat ya somo lolote na hawajaona matokeo yao wawaone wakuu wao wa idara mapema iwezekanavyo.
5. Kwa wanufaika wa mikopo waliosaini pesa zao zipo kwenye mchakato wa kutoka hivi karibuni.
6. Kwa wanafunzi wote wenye mikopo, watapata fedha zao kwa kusaini.
Sasa sisi tulomaliza certificate tunataka kuendelea na diploma hatujapata majibu yyte tuingie darasani au tusubirie sms
ReplyDeleteTutatoa tarifa juma Tatu juu ya certificate
ReplyDeleteSawa, lakini sijui kama nimeeleweka swali, ni kwamba tulomaliza certificate kwenda diploma hatujapokea ujumbe wwte so tuje chuo au tusubirie sms maana hatuelew na system ya nacte haifunguki
DeleteMuheshimiwa mbona hamkutupa feednack kuhusu yule mwenzetu aliyepataga ajali ya pikipiki, hali yake kwa sasa ikoje?
ReplyDeleteTutatoa tarifa juma Tatu juu ya certificate
ReplyDelete