Taarifa Kwa wanufaika wote wa Mikopo wa part time IFM


TAARIFA KUTOKA KWA REGISTRAR 

Wanufaika wote wa Mikopo wa part time walioko Dar wanataarifiwa kufika Chuo kesho (tarehe 30/12/2016)
Venue: TH. J
Time:    Saa 2 kamili asubuhi

Fika bila ya kukosa, mtaarifu na mwenzako. Ni muhimu sana
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment