TAARIFA NJEMA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO
Serikali ya wanafunzi chini ya wizara ya mikopo, inapenda kutoa taarifa rasmi kwa wanufaika wa mikopo waliosaini mpaka tarehe 25 mwezi wa 11, malipo yao ya meals and accomodation yamekamilika tarehe 1/12/2016 kama ifuatavyo:
S/N
|
BANK
|
NO. OF STUDENTS
|
1
|
CRDB
|
1350
|
2
|
NMB
|
58
|
3
|
NBC
|
3
|
4
|
TPB
|
1
|
5
|
EQUITY
|
1
|
6
|
ACB
|
1
|
7
|
ACCESS
|
1
|
8
|
EXIM
|
1
|
|
GRAND TOTAL
|
1416
|
Tunawahimiza wanufaika wote wenye allocation na hawajasaini, wasaini fedha hizo haraka ili kufanikisha zoezi la malipo kwa waliobaki
0 comments:
Post a Comment