Taarifa kwa wanafunzi wa IFM (Kwa wanaonza na wanaoendelea)


UKUMBUSHO KWA WANAFUNZI WA IFM

Serikali ya wanafunzi IFM-SO ingependa kuwakumbusha wanafunzi wote kuhusu tarehe za kufungua chuo. Tarehe 17 Oktoba 2016 ni mwanzo wa Orientation week kwa wanafunzi wanaoanza mwaka wa kwanza na ni wiki ya registration kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo (continuing students).

Tarehe 24 Oktoba 2016 ni mwanzo wa masomo kwa wanafunzi wote kama inavyoainihswa kwenye Almanac ya IFM 2016/17.


Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment