Taarifa kwa wanufaika wa mkopo wasiopata vitambulisho


TANGAZO

Kwa wanufaika wa mkopo wenye allocations lakini kwa sababu zozote wameshindwa kuregister wafike na picha zao kesho saa nne asubuhi admission office kupata ID za muda Kwaajili ya kufanyia mtihani

KWA WASIOKUWA NA ALLOCATION 

kwa wanufaika wa mkopo wasio na allocations wakijumuishwa na wanufaika wa mkopo wanaosoma part time na kwasababu hiyo wameshindwa kuregista wafike na picha zao kesho kuanzia saa nne chumba namba 404 loan office kupata ID za muda za kufanyia mtihani

Wizara ya mikopo
IFM-SO
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment