Kwa wanufaika wote wanaoendelea na masomo na wanaofaziliwa na bodi ya mikopo elimu ya juu Tanzania
Kuwa kuna taarifa imetangazwa na bodi hiyo ambayo inawahitaji wanufaika wanaoendelea na masomo kujaza *"dodoso"*zao kwenye tovuti ya bodi ya mikopo elimu ya juu.
Wizara ya mikopo IFMSO inawatangazia kuwa wasijaze kwanza dodoso zao kwenye tovuti ya bodi ya mikopo elimu ya juu mpaka hapo wizara itakapofanikiwa kupata/kuelezwa sababu za msingi ambazo hazitopelekea wanafunzi wenzetu wanaoendelea na masomo kutositishiwa mikopo yao.
Imeandaliwa na W/Mikopo IFMSO
Shukran IFMSO sabab password ckumbuk ni ingia forgot password still walinip password ambayo imekataa yan ushenzi tu wameweka
ReplyDelete