TAARIFA KWA UMMA WA IFM
Raisi wa ifm-so mh. Kilonzo N. Mringo ametengua uteuzi wa aliyekua waziri wa mikopo na kusitisha shunguli na utendaji wote wa wizara hiyo. Mh. Raisi ameamua kuchukua uamuzi huo kwasababu ya kutoridhishwa na utendaji wa wizara hiyo. Shughuli zote za wizara hiyo zimehamishiwa chini ya ofisi ya waziri mkuu mpaka pale itakapotangazwa tena.
Hapana chezea Mr Kilonzo
ReplyDelete