Taarifa ya Msiba

Mfiwa Neema Magullu ( Kushoto) akiwa na Marehemu baba yake Mr. Magullu (Kulia) enzi za uhai wake

TAARIFA YA MSIBA

Ndugu Neema Magullu, mwanafunzi wa mwaka wa pili Bachelor of Accountancy (IFM), anaskitika kutangaza kifo cha baba yake Mr. Magullu, kilichotokea usiku wa kuamkia jana mkoani Shinyanga. Mfiwa mpaka sasa yupo Kigamboni, na ataanza safari siku ya kesho kuelekea Shinyanga. Tunaomba ushirikiano katika kipindi hiki kigumu kwa mwenzetu na familia.

Kwa michango na maelezo zaidi wasiliana na 
0652760320-Selestina Jerome.

Share on Google Plus

About UPStream Telecom

1 comments: