TAARIFA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO IFM
Serikali ya wanafunzi IFM-SO baada ya ufuatiliaji wa karib inafahamisha wanafunzi wote wa IFM wanaonufaika na mkopo, kuwa kutakuwa na zoezi na kusaini malipo kwaajili ya fedha za awamu ya pili "Field Practical Training Allowance" kuanzia tarehe 14/09/2016 saa tatu asubuhi mpaka saa kumi kamili jioni.
Eneo la kusaini ni mbele ya Block A, Th A na B.
Usisahau kuja na kitambulisho cha muhula wa pili ni muhimu.
KUHUSU WANAFUNZI WALIOKO MIKOANI
Kuhusu watu walioko mikoani fedha zao zinategemewa mpaka tarehe 16/09/2016 kuwa zishaingia kwenye akaunti zao.
kuna wanafunzi ambao hawakuona majina yao wakati wa kusaini awamu ya kwanza ye pesa za field,lakini mpaka muda huu ambapo wanatakiwa kwenda kusaini awamu ya pili bado pesa za awamu ya kwanza hawajazipata pamoja na kuwa waliombwa kuandika taarifa zao ili hilo tatizo lishughulikiwe...sasa sijui wanafanyiwa mpango gani
ReplyDeleteEnter your comment...mbona pesa zenyewe hatupewi
ReplyDelete