TAARIFA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO IFM
Serikali ya wanafunzi IFM-SO inafahamisha wanafunzi wote wa IFM wanaonufaika na mkopo, kuwa kutakuwa na zoezi na kusaini malipo kwaajili ya fedha za awamu ya pili "Field Practical Training Allowance" kuanzia tarehe 14/09/2016 saa tatu asubuhi mpaka saa kumi kamili jioni.
Eneo la kusaini ni mbele ya Block A, Th A na B.
Usisahau kuja na kitambulisho cha muhula wa pili ni muhimu.
0 comments:
Post a Comment