Katibu wa bunge la wanafunzi IFM afiwa na baba yake mzazi


TAARIFA ZA MSIBA

IFM-SO inasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa Katibu wa Bunge la ISRC ndugu ALLAN G. MUSHI kilichotokea leo 25/08/2016 majira ya jioni, ndugu wanafunzi wenzetu tunaomba ushirikiano wenu kwa kumfariji kwa namna zote ili apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Kesho tutakuwa na safari ya kuelekea nyumbani kwao, tunaomba kwa pamoja tujumuike, safari itaanzia chuoni IFM saa nne na nusu asubuhi.

Mungu ilaze roho ya baba yetu mahali pema peponi, Amen

IFM-SO 2016/17
MINISTRY OF SOCIAL WELFARE
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment