Marekebisho ya ratiba ya supplimentary

TANGAZO  KUHUSU MABADILIKO YA RATIBA YA SUPPLIMENTARY

Ratiba ya kufanya mitihani ya supplimentary inafanyiwa marekebisho kwa kuzingatia yafuatayo:

1.       Wiki ya kwanza ya kuanzia tarehe 5 mitihani ya masomo ya semista ya kwanza pekee ndio itafanyika. Na wiki inayofuata kutakuwa na mitihani ya masomo ya semista ya pili ili kupatsa muda wa maandalizi kwa masomo yote.

2.       Mabadiliko ya codes za masomo ya carry ambayo awali hayakuonekana katika ratiba ya kwanza ikisababishwa na mabadiliko ya mtaala ulioanza 2015/2016. Hivyo masomo hayo yataingia kwenye ratiba . i.e. CS 711, QM 711 etc.
 


Ofisi ya raisi IFM-SO
Ofisi ya waziri mkuu IFM-SO
Ofisi ya bunge (Naibu spika na Faculty representatives)


Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment