TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!!
Kwa wanufaika wote wa mkopo mwaka uliopita 2015/16
•kwa wale wanafunzi wanaonufaika na mikopo ambao majina yao hayakuwepo muhula wa kwanza(semester one) ya mwaka wa masomo uliopita 2015/16, mnafahamishwa kuja kusaini block E chumba namba 404 tarehe 14/11/2016 kuanzia saa tano kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni
• Tafadhali soma kwa makini orodha ya majina iliyobandikwa kwenye notice board nje ya theatre A uone kama jina lako lipo, kama halipo hutakiwi kuja kusaini
• kitambulisho cha muhula wa pili mwaka wa masomo 2015/16 kitahitajika
Ofisi za mikopo
11/11/2016
0 comments:
Post a Comment