mwanafunzi YATIMA au ASIEJIWEZA wa mwaka wa pili, na kuendelea aliomba mkopo na akakosa suluhisho tunayo!!

TAARIFA MUHIMU

Hususan kwa wanafunzi wa Ifm tarifa hii kila mwanafunzi inambidi atume tarifa kwa wazir wa mkopo wa Chuo husika au waziri mkuu wao ndio watatuma kwa mwenyekiti wa tahiliso Tanzania. 

Kama kuna mwanafunzi wa mwaka wa pili, na kuendelea aliomba mkopo na akakosa ili hali unamjua  ni yatima ama hajiwezi kabisa alisomeshwa kwa Msaada  tafadhali tutumie taarifa zake kamili ili apatiwe mkopo.

Tujitahidi kabla ya LEO tarehe 24 mwezi wa kumi 2016 kuisha tuyapate tuyawasilishe hayo majina. 

Stanslaus Peter Kadugalize mwenyekiti TAHLISO

Tuma direct kwa waziri wa mikopo ifm Patrik @0712658869 tuma kwa email: stevenpatrick30@gmail.com

Vitu vya msingi. 
1. Majina husika
2. Chuo 
3. Course gani 
4. Mwaka wa ngapi. 
5. Index no. 

NB.  UPATAPO TAARIFA HII TUMA KWA WENGINE ILI HAWA YATIMA WASAIDIKE,  KUMBUKA NI WENYE SHIDA NA UHITAJI WA NDANI ZAID. 

AHSANTENI
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

1 comments:

  1. TUNATOA MIKOPO YA HARAKA YA € 15000 Hadi $ 72000 KIASI CHOCHOTE CHA UCHAGUZI WAKO NA 2-4
    SAA YA HUDUMA YA MAFANIKIO YA KUFANIKIWA NA 2% VIWANGO VYA RIBA KWA BIASHARA
    NA BINAFSI
    MADHUMUNI SASA TUMIA NA UJUMBE WA BARUA KWA:
    philipmorganloanservice00@gmail.com

    JAZA NA URUDI

    Jina:
    Kiasi cha Mkopo:
    Muda:
    Jinsia:
    Nchi:
    Lengo:
    Namba ya simu ya mkononi:

    JIBU LAKO NI LAZIMA MARA MOJA

    ReplyDelete