Taarifa ya msiba wa mwanafunzi wa masters IFM

TAARIFA YA MSIBA

Serikali ya wanafunzi wa IFM inaskitika kutanagaza kifo cha mwanafunzi mwenzetu aliekuwa akisoma Masters atambulikae kwa majina AISHA IDD SALEH kilichotokea jana usiku wa kuamkia Jumatano (4/04/2017).

Mazishi yatafanyika Kesho (Alhamis, 06/04/2017) Nyumbani kwao Keko saa 10 kamili jioni.

Ushirikiano wetu ndio nguvu yetu. tushirikiane kukusanya rambirambi kwaajili ya kuifariji familia ya marehemu na kujitokeza kwa wingi kwenda kuupumzisha mwili wa mwanafunzi mwenzetu.

IFM-S0
Wizara ya mambo ya kijamii

Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment