TAARIFA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO
Zoezi la kusaini Ada ya semester ya kwanza 2016/2017 kwa kozi zote lilianza tarehe 14/02/2017 na litaisha kesho (Ijumaa) tarehe 17/02/2017 saa kumi jioni.
Mahali ni faculty yako husika.
Baada ya hapo hakutakuwa na zoezi la kusaini hyo Ada tena isipokuwa kwa wale watakaokosa majina Yao.
Tunaomba pia kusisitiza wanafunzi kusoma taarifa zinazobandikwa kwenye mbao za matangazo kila siku, ili kujuzwa ya muhimu yanayomuhusu.
Kutoka ofisi ya mikopo, IFM
0 comments:
Post a Comment