Katika kutatua kero za makazi ya nje kwa wanafunzi wa IFM

IFMSO KATIKA KUTATUA KERO ZA MAKAZI YA NJE YA WANA IFM.


Ofisi ya serikali ya wanafunzi kupitia wizara ya mambo ya nje inaendelea kuwakumbusha kama taarifa za awali zinavyojieleza. 

Mwanachuo unaehitaji makazi ( kigamboni ; kinondoni; magomeni; pamoja na hostel za posta" au Upanga na Fire ).

Wizara inawaomba wanafunzi wenye uhitaji huo wa makaz Kufika Ifmso - 312. Na kujaza taarifa zao kama karatasi za OCM zinavyojieleza

Muundo wa karatasi hizo.
Jina la mwanafunzi:..xxx
Mahali / Eneo unapotaka kwenda kuishi: xxx
Nambari ya simu :Xxx 
Chumba / hostel : xxx

Wizara ya mambo ya nje inawaomba wanafunzi kufuata utaratibu wa kuja kujaza hizo taarifa. 

NOTE. 
Wizara ya mambo ya nje inataadharisha vilevile wanafunzi na kuwakumbusha kuwa waangalifu kwa kipindi hiki cha Mvua. Kwani uhalifu na Wizi mwingi hufanyika wakati wa kipindi hiki .

Wizara inawataka wanafunzi wanaotafuta makazi kupitia madalali, mwanafunzi kuwa makini na mwangalifu na Eneo ambalo utapelekwa na dalali ' kwani kuna maeneo mengine hujaa maji mpaka ndani kwa kipindi hiki cha mvua. 

Tunawatakia utekelezaji mwema  na likizo njema.

Wizara ya mambo ya nje
 IFM-SO 2016/17.
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment