Tangazo kwa wawakilishi wote wa madarasa (CR)


TANGAZO

Wawakilishi wa madarasa (CR's) wote ambao hawajajaza na kurudisha fomu za uchaguzi wanahesabika kuwa hawajakamilisha utaratibu wa uchaguzi, na serikali bado haijawatambua rasmi. Ikiwa itafika siku ya tarehe 15/11/2016 haujaleta fomu yako IFM-SO kwa waziri wa katiba na sheria hautashiriki katika vikao vya maamuzi kama bunge nk.

Imetolewa na ofisi ya raisi
IFM-SO
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment