Semina kutoka ofisi ya waziri mkuu TaESA

HABARI! HABARI!! HABARI!!!

Wizara ya Elimu IFMSO inapenda kuwatangazia wanafunzo wote wa IFM kuwa kesho Jumamosi 12/November/2016 kutakua na seminar itakayofanyika Function hall itakayoendeshwa na ofisi ya waziri mkuu: Wakala wa kazi na ajira (TaESA ) ambao watatoa mafunzo kwa wanafunzi wote juu ya 
•CV writing 
•Interview skills 
•How to behave at the work place 
na mafunzo mengi mengine yatakayokuwa na manufaa kwa mhusika pale atakapokuwa anaingia katika soko la ajira.

SEMINAR HII NI BURE KWA WOTE HAKUTAKUWA NA MALIPO YA AINA YOYOTE!!!

Pia watashirikiana na NMB ambao wanaprogramme ya Graduates itakayotoa fursa za internship kwa wanafunzi takribani 30!!!! 

NMB pia watatoa mafunzo kwa dada zetu juu ya changamoto wanazokutana nazo kwenye soko la ajira na pia kwa wanafunzi wenzetu walemavu.

UWEPO WENU NI MUHIMU!
Semina itaanza SAA NNE KAMILI ASUBUHI 
TAFADHALI USIKOSE KWANI HII NI FURSA NZURI KWETU SISI WANAFUNZI

*********************** 
Ministry of Education 
IFMSO
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment