KUTOKA MANAGEMENT YA CHUO
Serikali ya wanafunzi ifmso baada ya kukaa kikao na wawakilishi wa madarasa na wakuu wa vitivo juu ya matatizo yatokanayo na Mikopo ya Elimu ya juu, na kuwekwa makubaliano ya pamoja na kuyafikisha management leo hii. Management ya Chuo kupitia ofisi ya registrer imeomba kukutana na viongozi wa IFM-SO, crs na frs wote kesho saa saba mpaka saa tisa Th. J kutoa solution za matatizo amabayo tumewafikishia, hivyo tunaomba tukutane tujadiliane tujue kama solution hizo zitaleta suluhu.
TUFIKE BILA YA KUKOSA.
0 comments:
Post a Comment