TANGAZO
- Mwanafunzi mwenzetu wa IFM Aileen Macha wa BAC 1C amepata ajali ya pikipiki jana mchana (24/08/2016) alipokuwa njiani kuelekea chuo. Mgonjwa alipelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na amefanyiwa upasuaji wa kichwa leo asubuhi (25/08/2016) na bado yupo ICU mpaka wakati huu.
- Serikali ya wanafunzi ya IFM-SO inatoa pole za dhati kwa familia na watu wa karibu wa mgonjwa.
Kwa yeyote atakayeguswa juu ya mwanafunzi mwenzetu, anaweza kumsaidia kwa kutuma mchango wake kupitia
nambari zifuatazo:
TIGO PESA: 0712
969 194 - ASHRAFU HIJA
M-PESA: 0767 416 996 - FATMA ABDUL AZIZ
- Kuhusu utaratibu wa kwenda kumuona mgonjwa, tutatoa taarifa baada ya kutolewa ICU, hivyo tunashauri kutembelea Blog yetu hii mara kwa mara kujua maendeleo na yanayojiri.
0 comments:
Post a Comment